Not What I Expected Swahili Edition: Wakati Maisha Yasipobadilika Kama Ulivyotarajia Mafunzo Kutoka Kitabu Cha Kutoka 16

by F. Wayne Mac Leod

★★★★☆
3.8 (619)

US$1.00

15% OFF CODE: SAVE15

Description

Wakati maisha yasipobadilika kama uylivyotarajia mafunzo Kotoka kitabu cha Kutoka 16:3 Kama tukiwa wakweli kabisa, kwamba mara zote maisha hayajawa vile tulivyo tarajia, Kama vijana tulitarajia maisha yenye mambo makubwa na Mapenzi motomoto muda wote. Imebaki kama simulizi kwamba hayo ndo yaliyopaswa kuwa maisha yetu, uhalisia umebadili kila mpango. Taifa la Israeli pia walikuwa na mawazo yao jinsi uhuru utakavyokuwa kutoka kwenye kifungo cha Misri na shauku kubwa juu y kile Mungu atakachowafany