If My People - Swahili Edition

by F. Wayne Mac Leod

★★★★☆
4.1 (608)

US$1.50

15% OFF CODE: SAVE15

Description

Katika kipindi ambacho tunaangalia mipango mipya na mbinu ya kudumisha masilahi na kusababisha makanisa yetu yakue, ni rahisi kukosa urahisi wa kile Mungu anawaambia watu wake katika vifungu hivi. Afya ya makanisa yetu na uzima wa kiroho hautegemei juu ya mbinu na mipango mipya, lakini katika kuangalia nyuma kwenye mafundisho rahisi ya neno la Mungu. 2 Nyakati 7:13-14 ni funguo katika afya ya kiroho na kuzaa matunda. Katika vifungu hivi vimeegemea katika majibu ya Mungu kwa maombi ya Sulemani kw