Gatekeepers of the Temple - Swahili Edition

by F. Wayne Mac Leod

★★★★★
4.7 (614)

US$1.00

15% OFF CODE: SAVE15

Description

Walinzi Wa Lango La Hekalu Tathimini Ya Mchango Wa Mlinda Lango Katika Hekalula Agano La Kale Na Mafundisho Yake Kwenye Maisha Ya Ukristo Leo Mara nyingi bila kutambuliwa, walinzi wa Agano la Kale walilinda hekalu kutokana na kitu chochote kichafu, wakisimamia mambo ya kifedha kwa uaminifu na kudumisha mali ya hekalu. Walikuwa sehemu muhimu ya ibada ya Agano la Kale, wakihakikisha kwamba Bwana Mungu wao aliheshimiwa na kuheshimiwa katika mahali palipotengwa kwa ajili ya jina Lake. Wanaume hawa w