East of Eden - Swahili Edition: Kuishi ndani ya kivuri cha Bustani: Somo la Mwanzo 4
US$1.00
15% OFF CODE: SAVE15
Description
Kwa namna yoyote ile historia ya Kaini katika kitabu cha Mwanzo 4:16 ni historia yetu. Ni historia ya uhasi wa mtu na aliye kuwa mbali na uwepo wa Mungu. Kama tunavyo muona Kaini akiondoka katika uwepo wa Mungu inatusaidia kujua jinsi gani majaribu yetu yanatuweka mbali na ukamilifu wa baraka za Mungu . Tunatambua jinsi gani tunapambana na vivutio vya ulimwengu na mioyo yetu yenye dhambi. Kifungu hichi, kwanamna nyingine , ni zaidi ya historia ya uhasi wa Kaini. Bali ni ufunuo wa moyo wa Mungu j