Anguko la Kisayansi la Uislamu
US$5.00
15% OFF CODE: SAVE15
Description
Anguko la Kisayansi la Uislamu Katika kitabu hiki cha kina, Dr. Maxwell Shimba anafichua dosari za kisayansi zilizomo ndani ya Uislamu , hasa kuhusu mafundisho ya Qur'an juu ya muundo wa ulimwengu. Akitumia ushahidi wa kisayansi, maandiko matakatifu, na tafiti za kihistoria, mwandishi anaonyesha jinsi geosentrizimu ya Kiislamu ilivyoshindwa na ukweli wa heliosentrizimu ya Kikristo. Kitabu hiki kinachambua kwa kina jinsi Uislamu ulivyoshikilia dhana potofu za kisayansi na kwa nini Ukristo unasima